Jumapili, 16 Novemba 2014

Diana Magesa Design for your Kitchen Party?


-

0
In Tanzania,a Lady/Kitchen Party is one important element of the wedding celebrations. African prints and other African local materials are the most used items for making outfits for this day...
Like this amazing Diana Magesa design...am amazed!! 

Would you like to try a Tanzanian designer piece for your big day?!

GROOMS SWAGAA!



Colour combination, sijui tuiite suit combination imenogaaaa! Unaweza kujichanganya usijue bwana harusi ndo yupi kati ya hao masharobaro. Pia kwa pozi tuuu nimewakubali! Ni nomaaa!



Hii ni Mishono Mbalimbali ya Watu Wanene


















Pendeza kiafrika



Ukiwa umetulia kiafrica zaidi katika Gauni kama hizi...



HAYA NDIO MAUA YA NDANI MAZURI KWA AFYA YAKO






nephytis


spider plant


dwarf date palm



sword fern

Lady palm

Maua nyumbani au ofisini sio mapambo tu bali ni mazuri kwa afya yako kwani husafisha hewa na kufanya mazingira yako ya nyumbani au ofisini kupendeza kufanyia kazi au kuishi.Kwa hiyo wewe kama sio mpenzi sana wa kupamba basi pata ua (au yote) kati ya hayo juu japo kwa nia ya kuboresha hewa ya nyumbani kwako au ofisini. Kama una watoto wadogo au wanyama kama paka au mbwa ni muhimu kuhakikisha hawachezei maana maua mengine yanaweza yakawadhuru wakiyala. Pia kuna maua zaidi yafanyayo kazi hii majina yake hapa na hapa ila haya nimeona ni post haya maana yanapatika kirahisi kwetu na utunzaji wake sio mgumu. Tuzipende afya zetu na sehemu tunazoishi,Enjoy!

Jumamosi, 15 Novemba 2014

TAZAMA MAPAMBO YA KIAFRIKA YANAVYOPAMBA NYUMBA ZETU ZA KISASA



 Hiki ni chumba kimoja, kwa wale wanaokaa chumba kimoja basi huu ni mfano wa kuigwa......
 Sehemu za chakula unaweza kuweka kabati dogo na mapambo kiasi, sio lazima ukaweka kabati la vyombo, una jiko kubwa basi, weka vyombo jikoni na kwa mpangilio mzuri
 Sebule ilivyotulia, hakuna mambo mengi, ama picha nyingi ukutani......
 Picha zinahitaji umakini, kwanza kwenye kuchagua, na kutundika ukutani, ili kuleta muonekano mzuri...
Waweza changanya fanicha kama tuonavyo.......rangi pia z a mito ya mapambo.

Moja ya aina za viatu vya kijanja visivyo pitwa na wakati maarufu kwa jina Timberland

Mtete FocusLike