Ususi … urembo usiotumia kemikali wala dawa za viwandani. Tuupe nguvu ili kwamba dada zetu waondokane na utegemezi wa mawazo kwamba hawawezi kuonekana warembo na kuvutia pasipo kutumia nywele za bandia na kemikali za kurekebisha nywele zao. Ni vizuri kujibukali vile watu walivyoumbwa. Kwa nini mtu ujichubue, kwa nini mtu ujivishe mawigi, kwa nini ujisilibe na kemikali kibao … wewe ni wewe tu hata ujipake dhahabu, utabaki kuwa wewe!

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni